Thursday, March 23, 2017

Download new video mp4: Tay Grin f/ Vanessa Mdee – Tola ( official video)




Hawa ndio mastaa waliompatia Harmorapa jina hilo...


Harmorapa amefunguka kwa kuwataja mastaa waliosababisha kutumia jina analotumia sasa kwenye muziki.
Akingea kwenye kipindi cha Bongo Dot Home cha Times FM, rapper huyo amemtaja Roma na Mr T-Touch kuwa ni watu ambao walimshauri kutumia jina la Harmorapa.
“Baadhi ya mastaa wakubwa katika muziki wa hapa Bongo nao walinishauri nijiite hivi, akiwemo brother Roma Mkatoliki na Mt T-Touch,” amesema rapper huyo.
Harmo ameongeza kuwa kabla ya kutumia jina hilo alikuwa akifahamika kwa jina la Jembe la Kusini

Download new song mp3: Barnaba Classic - Lonely | official video |


Download new Video mp4: Young Killer - Sinaga Swaga Remix |official video |




Download new song mp3: Pallaso - Kampala.| New Audio |





Downlaod new song mp3: Tekno - Yawa.| New Audio |


Downlaod new song mp3: Tekno - Yawa. (Official Video)






Download new song mp3: Baghdad - Usinipangie | new Audio |



Wednesday, March 22, 2017

Weusi wachukua kijiti cha ubalozi wa Airtel toka kwa Navy Kenzo..

Weusi wametangazwa Jumanne kuwa mabalozi wapya wa Airtel Tanzania. Wametangazwa kuwa mabalozi wa huduma mpya ya kampuni hiyo iitwayo HATUPIMI BANDO.
Kundi hilo linaloundwa na Joh Makini, Nick wa Pili na G-Nako limechukua nafasi hiyo kutoka kwa kundi la Navy Kenzo ambao walikuwa mabalozi wa huduma nyingine mwaka jana.
Video Player





00:00
01:00

Magazeti ya Tanzania March 22, 2017 kuanzia, Udaku, Habari kitaifa na kimataifa (Hardnews) na michezo...