Ajali hiyo imetokea wakati mrembo huyo alikuwa akiendesha gari lake aina ya Mercedes-Benz G-Wagen yenye rangi nyeupe ndipo aligongana na gari jingine aina ya Volvo SUV kwenye upande kiti cha abiria.
Ciara akiwa nje ya gari lake baada ya kupata ajali
Japo Ciara alidaiwa kuumia kifuani lakini kwa mujibu wa mumewe Russell Wilson kupitia mtandao wa Twitter amesema mama na mtoto wako salama.
“Momma Wilson & Baby Wilson are feeling great! God is good! ,” ameandika Russell kwenye mtandao huo.
No comments:
Post a Comment