Tuesday, March 7, 2017

Pigo jipya kwa Marcos Rojo wa Man United amempoteza binamu yake kwa kupigwa risasi....

Mchechaji wa klabu ya Manchester United, Marcos Rojo amempoteza binamu yake Geronimo Rojo ambaye alikuwa na umri wa miaka 17. amefariki baada ya kupigwa risasi huko kwao Argentina akiwa katika harakati za kufanya unyang’anyi.
Image result for Marcos Rojo

Geronimo Rojo alikuwa akijaribu kufanya uporaji kwa kumpora askari mstaafu siku ya Jumatatu ya March 6, Geronimo amefariki akiwa hospitali lakini wakati wa tukio alikuwa katika pikipiki na mwenzake Ivan Rodrigo Barbosa mwenye umri wa miaka 26 ambaye alipigwa risasi na kufariki katika eneo la tukio wakati wakijaribu kufanya uporaji.

No comments:

Post a Comment