
Muigizaji kutoka Bongo movie, Rose Ndauka amezungumza kuhusu GoodNews kwa wale wenye vipaji vya kuigiza na anawakaribisha kwenye usahili utakaofanyika March 9 na 10 kijiji cha makumbusho Dar es Salaam pia amezungumzia ukweli juu ya taarifa za yeye kuwa mapenzini na Mc Pilipili. Bonyeza play hapa chini Kutazama.
SOURCE BY Millard Ayo
No comments:
Post a Comment