Hizi ndizo siri ambazo zinapatikana katika chuo cha uandishi wa habari na utangazji Arusha ARUSHA JOURNALISM TRAINING COLLEGE(A.J.T.C). Na siri hizo ndizo ambazo zinatumika katika kutoa mafunzo nakikifanya chuo hicho kua juu kitaaluma na kuzalisha waandishi na watangazaji bora na wenye taaluma ya fani hiyo.
SIRI NAMBA 1
WAKUFUNZI (WAALIMU) KUJITUMA, na kua nataaluma ya kutoa mafunza katika fani hiyo.
SIRI NAMBA 2
MAZOEZI KWA VITENDO,
wanafunzi wakifanya mazoezi kwa vitendo katika somo la TV BROADCASTING |
Hii hasa ndio siri kubwa katika chuo hicho ambayo inaijenga chuo hicho na kufanya wanafunzi wa chuo cha A.J.T.C kua chuo bora katika kutoa mafunzo ya fani ya utangazaji pamoja na uandishi wa habari.
wanafunzi wakifanya mazoezi kwa vitendo |
Pia mazoezi kwa mitendo imekua nidesturi ya chuo hicho kwani wanaamini kua mazoezi ndio ambayo yanamjenga mwanafunzi katika uhalisia wakile ambacho atakuja kukifanyia kazi hasa katika fani hii muhumi ambayo inasadikika kua nimuhimili wa tatu wa taifa.
mwanafunzi wakifanya mazoezi ya kutangaza kwa vitendo |
Chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha (A.J.T.C) kimekua chuo kinacho ongoza katika utoaji wa wanafunzi wanofanya vizuri katika tasnia ya uandishi wa haari nchini Tanzania.
No comments:
Post a Comment