Saturday, July 30, 2016

Leo kihistoria jumamosi ya tarehe 30/07/2016



Katika siku kama ya leo miaka 69 iliyopita alifariki dunia mvumbuzi wa Kimarekani anayejulikana kama baba wa sekta ya utengenezaji magari wa nchi hiyo Henry Ford. Alizaliwa tarehe 30 Julai 1863 katika familia ya kimaskini na tangu utotoni alikuwa na hamu kubwa ya masuala ya mekaniki. Siku moja Ford aliona gari likitembea barabarani bila ya kuvutwa na farasi na akaamua kutengeneza gari lake mwenyewe. Henry Ford alifanyia majaribio mkokoteni wa kwanza usiotumia farasi akiwa na umri wa miaka 12 tu. Mvumbuzi huyo aliboresha zaidi mkokoteni huo na mwaka 1896 alifanikiwa kutengeneza gari lake la kwanza. Mwaka 1895 alipewa haki ya kutengeneza magari licha ya kwamba watu wengine pia walikuwa wanatengeneza chombo hicho na mwaka 1903 aliasisi kampuni ya magari ya Ford Motor. Ford aliwapiku watengeneza magari wengine kwa kutengeneza magari mengi ya bei rahisi.
Siku kama ya leo mwaka 2012 hitilafu katika mitambo ya kuzalisha umeme nchini india yatokea na kuacha zaidi ya watu milioni 300 bila umeme.
Na siku kama ya leo vilevile mwaka 2003 kampuni ya kutengeneza magari ya ujerumani ''Volkswagen'' yaacha kutengeneza kwa mara ya mwisho gari lao lenye staili ya kizamani ya chura aina ya ''beetle'' ama kwa jina maarufu mgongo wa chura.

(OFFICIAL VIDEO) Nikki Wa Pili fEAT Chin Bees - SWEET MANGI.mp4

Nikki Wa Pili fEAT Chin Bees - SWEET MANGI     ,OFFICIAL VIDEO

PICHA; Rais Magufuli alivyoendelea na ziara yake Igunga na Nzega Tabora....

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo July 30 2016 ameendelea na ziara yake katika Mkoa wa Tabora akitokea Mkoa wa Singida.
Mkoani Tabora, Rais Magufuli amezungumza na wananchi waliosimamisha msafara wake katika vijiji vya Nanga na Ziba na amefanya mikutano ya hadhara Igunga na Nzega ambako amewahakikishia wananchi kuwa serikali yake itahakikisha inatekeleza ahadi zilizopo katika Ilani ya Uchaguzi Mkuu ya Mwaka 2015.
Katika mkutano wa hadhara uliofanyika Igunga, Rais Magufuli amepokea malalamiko ya wananchi kuhusu kutoanza kutumika kwa kituo cha mabasi na soko na amewaagiza viongozi wa Mkoa wa Tabora kuhakikisha kituo cha mabasi cha Igunga na soko la Igunga vinaanza kutumika kuanzia Jumatatu ijayo ya tarehe 01 Agosti, 2016.
Kuhusu kero ya maji, Dkt. Magufuli amesema Tanzania imepata mkopo wa dola za kimarekani Milioni 268.35 kutoka nchini India ambazo zitatumika kutekeleza mradi wa kusambaza maji ya ziwa Viktoria katika Miji ya Tabora, Igunga, Nzega, Sikonge
3
Rais Magufuli  na Mwenyekiti wa Kijiji cha Nanga Wilaya ya Igunga Masesa Kishiwa Makala kutoka Chadema wakati akiwa safarini kuelekea Nzega Mkoani Tabora.
7
Rais Magufuli akiwa na wabunge wa Mkoa wa Singida wakati akiwahutubia wakazi wa Misigiri Mkoani Singida wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Tabora.
8.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na wabunge wa Singida
5
Rais Magufuli ktk Kijiji cha Nanga Wilayani Igunga mkoani Tabora.
1. 

TAZAMA VIDEO; YA STAN BAKORA AKIMTANIA NEY BAADA YA KUFUNGIWA...

Video: Utani wa Stan Bakora baada ya Nay wa Mitego kufungiwa


NEW LIST; PICHA ZA MAJENGO 20 YENYE GHARAMA KUBWA DUNIANI....

Mtandao maarufu wa Daily Mail umetaja orodha ya majengo ambayo yana thamani kubwa zaidi duniani, orodha hiyo iliyochapishwa kwenye mtandao huo July 26 2016 imetaja majengo hayo pamoja na gharama zake.
BBC
1.  Masjid al -Haram jengo lipo Mecca, Saudia Arabia na lina thamani ya kushangaza ambapo inatajwa kuwa ni dola bilioni  100 na limekuwa nafasi ya juu katika orodha ya majengo ya gharama kubwa zaidi duniani. Jengo hili lilianza kujengwa mwaka 638 na linatarajiwa kukamilika 2020
Runner-up in the list of the world's most expensive buildings was the $15bn Abraj Al Bait in Saudi Arabia
2. ABRAJ AL NAIT, jengo hili liko nchini Saudi Arabia na gharama yake ni Dola bilioni 15 lilijengwa 2012
Resorts Wrodl Sentosa in Singapore is worth $6.59bn and has the world's largest Oceanarium
3. Resorts World Sentosa lipo Singapore na thamani yake ni Dola bilioni 6.59, lilijengwa 2012
Marina Bay Sands in Singapore is fourth in the list, where three towers are 55 storeys-high, valued at $5.5bn
4. Marina Bay Sands lipo Singapore ni la nne katika orodha, na lina thamani ya dola bilioni 5.5, lilijengwa 2010
36A1731400000578-3708841-image-a-3_1469610918198
5. The Cosmopolitan lipo Marekani na thamani yake ni dola bilioni 3.90, lilijengwa 2010
One World Trade Center mjini New York inasimamia katika 1,776ft mrefu, urefu mirroring mwaka Azimio la Uhuru ulisainiwa, na ni wa sita juu ya majengo orodha ghali zaidi duniani
6. One World Trade Center lipo New York Marekani na lina thamani ya Dola Bilioni 3.8, lilijengwa 2012
kur
7. Emirates Palace lipo  Abu Dhabi, United Arab Emirate lina thamani ya Dola Bilioni 3 na ni jengo la hoteli la pili ambalo ni ghali zaidi  duniani, lilijengwa 2005
The Wynn Resort is yet another entry for Las Vegas, and cost $2.7bn to build
8. Wynn Resort, inajulikana kama moja ya hoteli nzuri zaidi duniani na jengo lina thamani ya Dola bilioni 2.7  lipo Marekani, lilijengwa 2005
The $2.4bn City of Dream in China includes attractions such as the Dancing Water Theatre
9. City of Dreams lilijengwa mwaka 2009 lipo Macau, China na thamani yake ni dola bilioni  2.4
Costing $2.4bn to build, the Venetian Macao is the seventh largest building in the world, in floor area
10. The Venetian Macao lilijengwa mwaka 2005 Macau, China na liligharimu dola bilioni  2.4
76
11. The Princess Tower, ni jengo la pili kwa urefu Dubai na lilipata kuwa jengo refu duniani kwa makazi lakini nafasi ikawa imechukuliwa na 432 Park avenue la New York, lilijengwa 2012 na thamani yake ni dola bilioni 2.17
The Antilla in Mumbai, India, is owned by Mukesh Ambani and includes a staff of 600
12. Jengo la Antilla lipo Mumbai, India ni jengo linalomilikiwa na mtu binafsi anaitwa Mukesh Ambani, thamani yake ni dola bilioni 2, lilijengwa 2010
ttt
13 The Palazzo lipo United States na gharama yake ni dola bilioni 1.8, lilijengwa 2007
rrr
14. Taipei 101  lipo Taiwan na lina thamani ya Dola bilioni 1.8, lilijengwa 2004
The Bellagio Casino in Las Vegas contains over 2,000 hand-blown glass flowers
15 Bellagio lilijengwa mwaka 1998 na lina thamani ya dola bilioni 1.6, lipo USA
The Seat of the European Central Bank is found in two towers connected by an atrium
16. Seat of the ECB ni Jengo la Makao ya Benki Kuu ya Ulaya lilijengwa mwaka 2013 Frankfurt, Germany na lina thamani ya dola bilioni 1.57.
uwanja
17. Wembley Stadium una vyoo 2,618, uwanja upo London na ni uwanja wa pili kwa ukubwa Ulaya na thamani yake ni dola bilioni 1.5, ulijengwa 2006
The Yankee Stadium is valued at $1.5bn and was rebuilt in 2009
18. Yankee Stadium ulijengwa 2009, uwanja huu una thamani ya dola bilioni 1.5 upo New York Marekani
The Burj Khlaifa stands proud dominating the Dubai skyline, and is officially the tallest structure in the world - it came 19th in the list of world's most expensive buildings
19. Burj Khlaifa, lilijengwa 2010 lipo Dubai, inaelezwa kuwa kama madirisha yake yangekuwa yanasaffishwa kawaida ingehitaji wafanyakazi 36 miezi minne kusafisha jengo, thamani yake ni dola bilioni 
The top 20 list is completed by Kuala Lumpur's Petronas Twin Towers in Malaysia, valued at $1.16bn
20. Petronas Twin Tower, jengo hili lipo Kuala lumpur, Malaysia na lilijengwa mwaka 1999 na lina thamani ya dola bilioni 1.16

Thursday, July 28, 2016

Picha na Video: Papa Francis aanguka ghafla akiongoza misa nchini Poland.....




Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis, ameanguka ghafla wakati akiendelea na misa huko nchini Poland baada ya kujisikia vibaya. Inadaiwa Papa husumbuliwa na tatizo la maumivu ya miguu na mgongo. Hata hivyo hakuumia. Tazama picha na video za tukio hilo.

[UNSET]

36A9D77F00000578-3712379-image-a-55_1469700446652

36A9FFCC00000578-3712379-image-a-37_1469699026283

36AA1A9300000578-3712379-image-a-48_1469700376884
36AA11E300000578-3712379-The_79_year_old_pontiff_stumbled_at_the_altar_and_had_to_be_help-a-34_1469699026168

Wednesday, July 27, 2016

Rapper Chemical adai shule imekwamisha kutoka kwa video yake na Fid Q na Cliff Mitindo

Rapper wa kike Bongo mwenye swagga za hatari Chemical ametaja sababu iliyochelewesha kufanyika kwa video ya wimbo wake ‘Hero’ aliwashirikisha Fid Q na Cliff Mitindo.


Mapema mwezi Mei mmoja kati ya viongozi wa Kazi kwanza wanaomsimamia Chemical waliahidi kuachia video ya wimbo huo kabla ya mwezi huo wa tano kumalizika.
Akiongea na Bongo5, Chemical amesema ugumu wa kupatikana wasanii wote wa tatu walioshiriki kwenye wimbo huo ndiyo umechangia kuchelewa kufanyika kwa video hiyo.
“Huo wimbo tumefanya watu watatu, imekuwa ngumu kukutana wote kwa pamoja. Shule ilileta ugumu kidogo kutokana nilikuwa kwenye mitihani ndio maana kuna vitu vingine nikashindwa kuvifanya,” amesema Chemical.
“Kwa sasa tumeiweka kama pending fulani hivi ila kuna baadhi ya vitu tunavifuatilia vikikamilika tutaanza kushoot,” ameongeza.

Tuesday, July 26, 2016

Mr T Touch ndani ya studio yake mpya huku akizungumzia juu yakuachana kwake Nay wamitego....

Mtayarishaji wa zamani wa studio ya Nay wa Mitego ‘Free Nation’ Mr T Touch amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na aliyekuwa bosi wake baada ya wawili hao kudaiwa kuachana vibaya.


Mr T Touch akiwa ndani ya studio yake mpya
Akiongea na Bongo5 Jumanne hii, Mr T Touch amesema ameachana na Nay wa Mitego ili kutengeneza maisha yake binafsi.
“Hakuna ugomvi wowote ila mimi nimeamua kufanya maisha yangu ambayo nahisi ni bora kwangu kwa sababu sisi ni binadamu na kila kwenye mwanzo kuna mwisho ,” alisema T. “Kwa hiyo ni vitu vya kawaida mimi nimetoka Free Nation sio kwa bifu lakini ni kujitetea kwenye maisha yangu, kwa hiyo nimefungua studio mpya na nimewekeza pesa nyingi kwa sababu studio ndio maisha yangu,”
Pia mtayarishaji huyo amesema atafanya kazi na Nay wa Mitego kwa vigezo maalum tofauti na mwazo.
“Siwezi kukataa kufanya kazi na Nay wa Mitego, kama akija tutasaini mkataba alafu kazi itafanyika lakini sio kama zamani hii ni kibiashara zaidi,” alisema Mr T Touch

Koffi Olomide ahukumiwa kifungo cha miezi 18 jela.....


Mwanamuziki maarufu nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Koffie Olomide, amehukumiwa kifungo cha miezi 18 jela.
CoTRfBAWEAEvS2x
Koffi akiwasili kwenye gereza la Makala, Kinshasa kutumikia kifungo
Hukumu hiyo imekuja baada ya wiki iliyopita kusambaa kwa video inayomuonesha akimpiga teke dancer wake wakati wakiwasili kwenye uwanja wa ndege wa JKIA jijini Nairobi alikokuwa atumbuize Jumamosi iliyopita.
CoTRmOOXgAEtBGY
Tukio la kumpiga teke dancer wake limeteka vichwa vya habari duniani mwishoni mwa mwezi huu
Kufuatia tukio hilo alifukuzwa nchini humo na show yake kusitishwa. Show nyingine aliyokuwa aifanya nchini Zambia ilisitishwa siku chache baadaye.
CoTRihzWEAATy7p
Kwa mujibu wa mtandao wa Voice of Congo, hukumu hiyo imependekezwa na mwanasheria mkuu wa serikali. Staa huyo alikamatwa nyumbani kwake wiki hii.
CoTRp-WWIAARFHi
Japokuwa bado hakujatoka taarifa ya kina, imedaiwa kuwa hukumu hiyo haina faini ikimaanisha kuwa Olomide lazima aende jela

KASEJA APATA DILI LA KUFUNDISHA SERENGETI BOYS...



anaungana na kikosi hicho ambacho kinasafiri kwenda kambini Madagascar kupitia Afrika Kusini. Kaseja amechukua nafasi ya kocha wa makipa aliyekuwepo awali ambaye anabaki nchini kwa ajili ya kushiriki kozi za ukocha.
Kipa huyo alikuwa katika mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya na Mbeya City
kaseja2

TAZAMA VIDEO YA MAGOLI YALIYO FUNGWA KATIKATI YA UWANJA.......

Tazama magoli yalio wahi kufugwa umbali wa takribani mita 60

Katika soka siku zote kuna magoli mengi na mazuri yanafungwa katika maeneo yasiotarajiwa, moja kati ya magoli ambayo huwa yanafungwa kwa nadra sana ni magoli kufungwa kutokea katikati ya uwanja au nusu ya upande wa pili wa uwanja, July 25 2016 naomba nikusogezee magoli mazuri yaliowahi kufungwa kutokea katika

TAZAMA VIDEO YA MAGOLI YALIYO FUNGWA KATIKATI YA UWANJA.......

Tazama magoli yalio wahi kufugwa umbali wa takribani mita 60

Katika soka siku zote kuna magoli mengi na mazuri yanafungwa katika maeneo yasiotarajiwa, moja kati ya magoli ambayo huwa yanafungwa kwa nadra sana ni magoli kufungwa kutokea katikati ya uwanja au nusu ya upande wa pili wa uwanja, July 25 2016 naomba nikusogezee magoli mazuri yaliowahi kufungwa kutokea katika

TAZAMA PICHA ZA DARAJA LINALOJENGWA CHINI YA MAJI NCHINIi NORWAY...


Leo July 26 2016 nimekutana na hili daraja ambalo sitapenda upitwe mtu wangu, unaweza ukawa umeona madaraja mengi ila hili likakushangaza daraja hili limejengwa chini ya maji nchini Norway kwenye kivuko kati ya Kristiansand na Trondheim ndani ya mwendo wasaa 21 kwa gari kupitia daraja ilo.
Daraja hili limetajwa kujengwa ndani ya miaka saba mpaka nane ingawa bado wanafanya tafiti za kigeografia na pia daraja hili litajengwa kati ya futi 65 mpaka 100 iwasaidie wananchi kuvuka kirahisi kwa safari kama za hospitali ambazo inapekelekea watu kupanda helikopta.
Mradi huu utakua wakwanza duniani kujengwa kwa daraja hili nchini Norway.
fl
fgg
fg
ff
fffff
fggggg
fltng