Thursday, July 14, 2016

MALALA ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA KENYA.


Malala Yousufzai amekuwa nchini Kenya, akiadhimisha siku ya kuzaliwa kwake, ambapo anatimiza umri wa miaka 19.

Kama ilivyokuwa miaka miwili iliyopita, ameamua kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa kuwahamasisha wasichana, wakati huu, akiitembelea kambi ya wakimbizi ya Dadaab.
Serikali ya Kenya ilitangaza mipango ya kuifunga kambi hii, na ambayo ni makao kwa wakimbizi 300,000.
Mwandishi wetu Anne Soy anaarifu zaidi kutoka kambi hiyo.

No comments:

Post a Comment