Saturday, July 30, 2016

NEW LIST; PICHA ZA MAJENGO 20 YENYE GHARAMA KUBWA DUNIANI....

Mtandao maarufu wa Daily Mail umetaja orodha ya majengo ambayo yana thamani kubwa zaidi duniani, orodha hiyo iliyochapishwa kwenye mtandao huo July 26 2016 imetaja majengo hayo pamoja na gharama zake.
BBC
1.  Masjid al -Haram jengo lipo Mecca, Saudia Arabia na lina thamani ya kushangaza ambapo inatajwa kuwa ni dola bilioni  100 na limekuwa nafasi ya juu katika orodha ya majengo ya gharama kubwa zaidi duniani. Jengo hili lilianza kujengwa mwaka 638 na linatarajiwa kukamilika 2020
Runner-up in the list of the world's most expensive buildings was the $15bn Abraj Al Bait in Saudi Arabia
2. ABRAJ AL NAIT, jengo hili liko nchini Saudi Arabia na gharama yake ni Dola bilioni 15 lilijengwa 2012
Resorts Wrodl Sentosa in Singapore is worth $6.59bn and has the world's largest Oceanarium
3. Resorts World Sentosa lipo Singapore na thamani yake ni Dola bilioni 6.59, lilijengwa 2012
Marina Bay Sands in Singapore is fourth in the list, where three towers are 55 storeys-high, valued at $5.5bn
4. Marina Bay Sands lipo Singapore ni la nne katika orodha, na lina thamani ya dola bilioni 5.5, lilijengwa 2010
36A1731400000578-3708841-image-a-3_1469610918198
5. The Cosmopolitan lipo Marekani na thamani yake ni dola bilioni 3.90, lilijengwa 2010
One World Trade Center mjini New York inasimamia katika 1,776ft mrefu, urefu mirroring mwaka Azimio la Uhuru ulisainiwa, na ni wa sita juu ya majengo orodha ghali zaidi duniani
6. One World Trade Center lipo New York Marekani na lina thamani ya Dola Bilioni 3.8, lilijengwa 2012
kur
7. Emirates Palace lipo  Abu Dhabi, United Arab Emirate lina thamani ya Dola Bilioni 3 na ni jengo la hoteli la pili ambalo ni ghali zaidi  duniani, lilijengwa 2005
The Wynn Resort is yet another entry for Las Vegas, and cost $2.7bn to build
8. Wynn Resort, inajulikana kama moja ya hoteli nzuri zaidi duniani na jengo lina thamani ya Dola bilioni 2.7  lipo Marekani, lilijengwa 2005
The $2.4bn City of Dream in China includes attractions such as the Dancing Water Theatre
9. City of Dreams lilijengwa mwaka 2009 lipo Macau, China na thamani yake ni dola bilioni  2.4
Costing $2.4bn to build, the Venetian Macao is the seventh largest building in the world, in floor area
10. The Venetian Macao lilijengwa mwaka 2005 Macau, China na liligharimu dola bilioni  2.4
76
11. The Princess Tower, ni jengo la pili kwa urefu Dubai na lilipata kuwa jengo refu duniani kwa makazi lakini nafasi ikawa imechukuliwa na 432 Park avenue la New York, lilijengwa 2012 na thamani yake ni dola bilioni 2.17
The Antilla in Mumbai, India, is owned by Mukesh Ambani and includes a staff of 600
12. Jengo la Antilla lipo Mumbai, India ni jengo linalomilikiwa na mtu binafsi anaitwa Mukesh Ambani, thamani yake ni dola bilioni 2, lilijengwa 2010
ttt
13 The Palazzo lipo United States na gharama yake ni dola bilioni 1.8, lilijengwa 2007
rrr
14. Taipei 101  lipo Taiwan na lina thamani ya Dola bilioni 1.8, lilijengwa 2004
The Bellagio Casino in Las Vegas contains over 2,000 hand-blown glass flowers
15 Bellagio lilijengwa mwaka 1998 na lina thamani ya dola bilioni 1.6, lipo USA
The Seat of the European Central Bank is found in two towers connected by an atrium
16. Seat of the ECB ni Jengo la Makao ya Benki Kuu ya Ulaya lilijengwa mwaka 2013 Frankfurt, Germany na lina thamani ya dola bilioni 1.57.
uwanja
17. Wembley Stadium una vyoo 2,618, uwanja upo London na ni uwanja wa pili kwa ukubwa Ulaya na thamani yake ni dola bilioni 1.5, ulijengwa 2006
The Yankee Stadium is valued at $1.5bn and was rebuilt in 2009
18. Yankee Stadium ulijengwa 2009, uwanja huu una thamani ya dola bilioni 1.5 upo New York Marekani
The Burj Khlaifa stands proud dominating the Dubai skyline, and is officially the tallest structure in the world - it came 19th in the list of world's most expensive buildings
19. Burj Khlaifa, lilijengwa 2010 lipo Dubai, inaelezwa kuwa kama madirisha yake yangekuwa yanasaffishwa kawaida ingehitaji wafanyakazi 36 miezi minne kusafisha jengo, thamani yake ni dola bilioni 
The top 20 list is completed by Kuala Lumpur's Petronas Twin Towers in Malaysia, valued at $1.16bn
20. Petronas Twin Tower, jengo hili lipo Kuala lumpur, Malaysia na lilijengwa mwaka 1999 na lina thamani ya dola bilioni 1.16

No comments:

Post a Comment