Friday, July 22, 2016

Polisi ndani ya siku sita kukukusanya na makosa ya barabarani na idadi yake hii yapa...

Leo July 22 2016 imetolewa taarifa ya kikosi cha usalama barabara kanda maalum ya Dar es salaam ya ukamataji wa makosa ya usalama barabarani kwa kipindi cha kuanzia July 15 2016 hadi July 21 2016.
Katika makosa yaliyokamatwa kwa muda wa siku sita yamepelekea kukusanya fedha za tozo kiasi cha MILIONI 562.86
  1. IDADI YA PIKIPIKI ZILIZOKAMATWA  -1,413
  2. IDADI YA MAGARI YALIYOKAMATWA  –17,349
  3. DALADALA ZILIZOKAMATWA           -7220
  4. MAGARI MENGINE (BINAFSI NA MALORI)- 10,129
  5. JUMLA YA MAKOSA YALIYOKAMTW-  18,762
Bodaboda waliofikishwa mahakamani kwa makosa ya kutovaa helmet na kupakia mishkaki -49

No comments:

Post a Comment