Monday, July 25, 2016

VIDEO NA UFAFANUZI JUU YA PIKIPIKI ILIYOPAKIZWA KWENYE BASI LA MWENDO KASI...



Baada ya picha iliyosambaa ikionyesha pikipiki iliyokuwa ndani ya basi liendalo kwa haraka jijini Dar es salaam.
Afisa habari wa UDART, Deus Bugaywa, ametoa ufafanuzi huo na kusema…..>>>tumefuatilia iliingia wapi? kwa sababu gani na mahali gani? tunadhani picha itakuwa imetengenezwa kwa sababu tumefuatilia kwenye vituo vyetu na ni jambo ambalo haliruhusiwi kabisa na hakuna namna kwamba utabeba pikipiki au baiskeli yako ya kawaida isyo ya mlemavu unasafirisha mle ni jambo ambalo haliwezekani kabisa’

No comments:

Post a Comment