Thursday, July 14, 2016

Picha: Lupita Nyong’o ni mfano halisi wa uzuri wa ngozi nyeusi!

Muigizaji wa filamu wa Kenya, Lupita Nyong’o ni ‘kisu’ asikwambie mtu.

 

CALAIS, FRANCE - AUGUST 20:  Britain's Home Secretary Theresa May speaks to the media at a press conference after signing an agreement to tackle the migrant crisis in Calais on August 20, 2015 in Calais, France. The Home Secretary arrived in Calais to announce a number of measures to deal with the migrant issue in which about 3,000 migrants are thought to be camped in Calais hoping to cross the Channel into Britain. Measures include the creation of a joint command centre to target criminals trafficking migrants into France and the UK.  (Photo by Carl Court/Getty Images)
Lupita ameanza kufahamika zaidi mwaka 2013 baada ya kufanikiwa kuchukua tuzo ya Oscar baada ya kuigiza kwenye filamu ya ‘12 Years a Slave’.
Mourinho
Ni mmoja kati ya waigizaji wachache kutoka ukanda wa Afrika Mashariki wenye mvuto zaidi unaowavutia wanaume wengi kutamani kumvutia ndani. Mrembo huyo ni mfano halisi wa kwanini ngozi ya mwanamke mweusi inavutia na kwamba si wasichana weupe pekee wenye mvuto machoni.
Check picha zake zingine hapo chini.
Professo-Jay

No comments:

Post a Comment