Ni July 14, 2016 ambapo Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe ameingia kwenye headlines za kuuacha rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake aliyemvisha pete ya uchumba miezi miwili iliyopita, ndoa na tafrija zote zimefanyika Zanzibar.
Hapa nina picha 5 za kutoka kwenye eneo la tukio hilo
.
.
.
.
No comments:
Post a Comment