Sunday, July 24, 2016

Video mpya ya Becka Title Ft Manengo & Blood Gazza- ‘Sitaki Shida’


Msanii wa B.O.B Becka Title aka Chorus Killer ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Sitaki Shida”, amewashirikisha wasanii Manengo na Blood Gazza, Video hii imefanyika mkoani Mwanza na kuongozwa na Vipper.



No comments:

Post a Comment