Sunday, July 24, 2016

SIKU CHACHE ZATAJWA POGBA KUJIUNGA NA MASHETANI WEKUNDU....


Magazeti mengi ya soka ya Italia kwa sasa ni majina ya wachezaji wawili ndio yanatumika sana kupamba kurasa za mbele katika kipindi hiki ambacho mashabiki wa soka duniani wanasubiria rekodi ya usajili ya dunia ikivnjwa na Man United kwa kumsajili Paul Pogba kutoka Juventus kwa zaidi ya pound milioni 100.
Paul Pogba kuhusishwa kwenda Man United na jina la muargentina Gonzalo Higuankuhusishwa kwenda Juventus ndio stori kubwa katika magazeti ya Italia, leo July 24 gazeti la AS limeandika headlines mpya kuwa Pogba atasajiliwa na Man UnitedJumatano ya July 27 au Alhamisi ya July 28.

No comments:

Post a Comment