Mrembo kutoka kiwanda cha Filamu nchini Tanzania Wema Sepetu July 9, 2016 aliungana na mastaa mbalimbali pamoja na wadau wa muziki kwenye show iliyopewa jina Black Tie.
Kama uliikosa hii usijali mtu wangu millardayo.com na Ayo TV ilifika eneo la tukio na nimekuwekea picha 16 kutoka kwenye Black Tie usisahau pia kuniachia comment yako hapa.
.
Faiza Ally kwenye interview na Clouds TV
Kulia ni Mke wa Msanii Barnaba akiwa na rafiki yake
Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima (Kulia) akiwa na rafiki yake
.
Wema akiwa Idris Sultan
.
.
Wema Sepetu akisalimiana na Wolper
.
Steve Nyerere akiwa na wasanii wenzake
No comments:
Post a Comment